Kichin-Tedim
Kichin ya Tedim (pia Kitedim) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uhindi inayozungumzwa na Wachin. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Tedim imehesabiwa kuwa watu 189,000 nchini Myanmar na wasemaji 155,000 nchini Uhindi. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Tedim iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kichin ya Tedim kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichin ya Tedim Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kichin ya Tedim katika Glottolog
- lugha ya Kichin ya Tedim kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichin-Tedim kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |