Kichin cha Siyin ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar inayozungumzwa na Wasiyin. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin cha Siyin kiko katika kundi la Kisal.

Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Siyin ilihesabiwa kuwa watu 10,000.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichin cha Siyin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.