Uainishaji wa lugha

Uainishaji wa lugha (kwa Kiingereza: Language classification) ni juhudi za wataalamu wa lugha za kupanga lugha katika makundi kulingana na asili yake na jinsi zinavyofanana[1][2].

Tanbihi hariri

  1. "Linguistics - Language classification". Encyclopedia Britannica (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 19 September 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Language Typology: Analytic versus Synthetic Languages". ELLO (English Language and Linguistics Online). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-23. Iliwekwa mnamo 19 September 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uainishaji wa lugha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.