Kichin-Falam
(Elekezwa kutoka Kichin ya Falam)
Kichin ya Falam (pia Kifalam au Kihalam) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uhindi inayozungumzwa na Wahalam. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Falam nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 69,000. Pia kuna wasemaji 38,300 nchini Uhindi (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Falam iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kichin ya Falam kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichin ya Falam Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kichin ya Falam katika Glottolog
- lugha ya Kichin ya Falam kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichin-Falam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |