Kichin-Haka
(Elekezwa kutoka Kichin ya Haka)
Kichin ya Haka (pia Kihaka) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uhindi inayozungumzwa na Wachin. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Haka nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 25,000 nchini Uhindi (2001). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Haka iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kichin ya Haka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichin ya Haka Archived 15 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kichin ya Haka katika Glottolog
- lugha ya Kichin ya Haka kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichin-Haka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |