Kichin-Thado
(Elekezwa kutoka Kichin ya Thado)
Kichin ya Thado (pia Kikuki) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uhindi inayozungumzwa na Wachin. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Thado nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 243,000. Pia kuna wasemaji 26,200 nchini Myanmar (1983). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Thado iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kichin ya Thado kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kichin ya Thado Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kichin ya Thado katika Glottolog
- lugha ya Kichin ya Thado kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichin-Thado kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |