Kicitak ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wacitak. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kicitak imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicitak iko katika kundi la Kiasmat.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kicitak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.