Kicol (pia Kilembak au Kisindang) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wacol kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kicol imehesabiwa kuwa watu 145,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kicol iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kicol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.