Kicrioulo ni krioli nchini Guinea-Bisau inayozungumzwa na watu wengi kama lugha ya taifa. Kicrioulo imetokea misamiati ya Kireno pamoja na sarufi ya lugha za Kimanding. Mwaka wa 2016 idadi ya wasemaji nchini Guinea-Bisau ambao hutumia Kicrioulo kama lugha ya kwanza imehesabiwa kuwa watu 239,000. Tena kuna watu 600,000 ambao hutumia Kicrioulo kama lugha yao ya pili. Pia, kuna wasemaji 30,000 nchini Senegal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kicrioulo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.