Kidagara-Kaskazini
Kidagara-Kaskazini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wadagaari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidagara-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 388,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidagara-Kaskazini iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidagara kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidagara Archived 5 Juni 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidagara katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dgi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidagara-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |