Kidai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadai kwenye visiwa vya Babar na Dai. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kidai imehesabiwa kuwa watu 820. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidai iko katika kundi la Kibabar.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.