Kidaju, Dar Sila
Kidaju, Dar Sila ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Sudan inayozungumzwa na Wadaju. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisila nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 63,100. Idadi ya wasemaji nchini Sudan haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisila iko katika kundi la Kisudani-Mashariki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kisila kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisila Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kisila katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dau
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidaju, Dar Sila kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |