Kidamal (au Kiamung) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadamal. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidamal imehesabiwa kuwa watu 14,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidamal iko katika kundi lake lenyewe la Kidamal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidamal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.