Kidamar-Magharibi (pia Kidamar-Kaskazini) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadamar kwenye kisiwa cha Damar. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kidamar-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidamar-Magharibi iko katika kundi la Kitimor-Babar.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidamar-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.