Kidameli
Kidameli ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wadameli. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidameli imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidameli iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya njeEdit
- lugha ya Kidameli kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidameli
- lugha ya Kidameli katika Glottolog
- lugha ya Kidameli kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidameli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |