Kidangaleat ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wadangla. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kidangaleat imehesabiwa kuwa watu 45,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidangaleat iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidangaleat kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.