Kidanuwar
Kidanuwar (au Kidhanwar) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal inayozungumzwa na Wadanuwar. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kidanuwar imehesabiwa kuwa watu 45,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidanuwar iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidanuwar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidanuwar Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidanuwar katika Glottolog
- lugha ya Kidanuwar kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidanuwar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |