Kidarlong ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadarlong. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kidarlong imehesabiwa kuwa watu 6000. Kuhusu uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidarlong haijaainishwa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidarlong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.