Kidarmiya ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadarmiya. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kidarmiya imehesabiwa kuwa watu 1750. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidarmiya iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidarmiya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.