Kidaungwurrung
Kidaungwurrung (au Kitaungurong) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadaungwurrung katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidaungwurrung ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidaungwurrung kiko katika kundi la Kikulin.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidaungwurrung kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidaungwurrung Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidaungwurrung katika Glottolog
- lugha ya Kidaungwurrung katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidaungwurrung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |