Kidawera-Daweloor ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadawera na Wadaweloor kwenye visiwa vya Dawera na Daweloor. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kidawera-Daweloor imehesabiwa kuwa watu 1270. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidawera-Daweloor iko katika kundi la Kibabar.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidawera-Daweloor kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.