Kiday ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Waday. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiday imehesabiwa kuwa watu 49,900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiday iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiday kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.