Kideg ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wadeg. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kideg nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 26,400. Pia kuna wasemaji 1100 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kideg iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kideg kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.