Kidemisa ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wademisa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidemisa imehesabiwa kuwa watu 400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidemisa iko katika kundi la “East Geelvink Bay”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidemisa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.