Kideori
Kideori ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadeori. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kideori imehesabiwa kuwa watu 28,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kideori iko katika kundi la Kisal.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kideori kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kideori Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kideori katika Glottolog
- lugha ya Kideori kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kideori kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |