Kidhalandji

lugha ya asili ya Australia

Kidhalandji ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadhalandji katika jimbo la Australia ya Magharibi. Mwaka wa 2008, kulikuwa na wasemaji wa Kidhalandji sita tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidhalandji kiko katika kundi la Kikanyara.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidhalandji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.