Kidigaro-Mishmi
Kidigaro-Mishmi (pia Kidarang-Deng) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Uchina inayozungumzwa na Wadigaro-Mishmi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidigaro-Mishmi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 34,000. Pia kuna wasemaji 850 nchini Uchina. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidigaro-Mishmi iko katika kundi lake lenyewe la Kidigaro.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidigaro-Mishmi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidigaro-Mishmi Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidigaro-Mishmi katika Glottolog
- lugha ya Kidigaro-Mishmi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidigaro-Mishmi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |