Kidimasa ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadimasa. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidimasa imehesabiwa kuwa watu 112,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidimasa iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidimasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.