Kidjabwurrung
Kidjabwurrung ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadjabwurrung katika jimbo la Victoria. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kidjabwurrung saba tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjabwurrung kiko katika kundi la Kikulin.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidjabwurrung kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidjabwurrung Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidjabwurrung katika Glottolog
- lugha ya Kidjabwurrung katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidjabwurrung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |