Kidogon, Tebul Ure
Kitebul ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wadogon. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kitebul imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitebul iko katika kundi la Kidogon.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitebul kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitebul Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kitebul katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dtu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidogon, Tebul Ure kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |