Kidororo ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon iilyozungumzwa na Wadororo. Kwa miaka mingi sasa hakuna wasemaji wa Kidororo, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidororo iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidororo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.