Kidoutai
Kidoutai ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadoutai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidoutai imehesabiwa kuwa watu 70 tu,na wasemaji wameanza kuacha lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidoutai iko katika kundi la “Lakes Plain”.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidoutai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidoutai Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kidoutai katika Glottolog
- lugha ya Kidoutai kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidoutai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |