Kiduli ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waduli. Wataalamu wameshindwa kukuta wasemaji wa lugha tena kwa hiyo imesemekana kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiduli iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiduli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.