Kidusun-Deyah ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadusun kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kidusun-Deyah imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidusun-Deyah iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidusun-Deyah kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.