Kidyugun
Kidyugun (au Kijukun) ilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wadyugun katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji wa Kidyugun ambao wamebaki kuzungumza lugha, yaani lugha imetoweka lakini Wadyugun wengine bado hukumbuka maneno machache. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidyugun kiko katika kundi la Kinyulnyulan. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kiyawuru.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidyugun kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidyugun Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidyugun katika Glottolog
- lugha ya Kidyugun katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidyugun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |