Kidzodinka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wadzodinka. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidzodinka nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 2600. Pia kuna wasemaji nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidzodinka iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidzodinka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.