Kiede-Nago
Kiede-Nago ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Waede. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiede-Nago imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiede-Nago iko katika kundi la Kiyoruboidi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinago kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinago Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kinago katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/nqg
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiede-Nago kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |