Kiembaloh (pia Kimalo, Kipalin au Kisanggau) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wataman, Wapalin, Wasuai, Walauk na Wakalis kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiembaloh imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiembaloh iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiembaloh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.