Kieritai ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waeritai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kieritai imehesabiwa kuwa watu 530. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kieritai iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kieritai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.