Kiesimbi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waesimbi. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiesimbi imehesabiwa kuwa watu 20,000. Pia kuna wasemaji nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiesimbi iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiesimbi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.