Kievant
Kievant ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Waevant. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kievant imehesabiwa kuwa watu 10,000 nchini Nigeria na watu 1000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kievant iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kievant kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kievant Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kievant katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bzz
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kievant kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |