Kieven ni lugha ya Kitungusi nchini Urusi inayozungumzwa na Waeven. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kieven imehesabiwa kuwa watu 5660. Waeven wengi wamebadilisha lugha kutumia Kirusi tu, yaani lugha yao ya asili imo hatarini kutoweka. Kuna lahaja nyingi za Kieven. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kieven iko katika kundi la Kitungusi ya Kusini.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kieven kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.