Kifayu ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wafayu. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kifayu imehesabiwa kuwa watu 1400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kifayu iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifayu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.