Kifipa
Kifipa (pia huitwa Chifipa) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wafipa. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kifipa imehesabiwa kuwa watu 195,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kifipa iko katika kundi la M10.
Viungo vya njeEdit
- lugha ya Kifipa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kifipa
- lugha ya Kifipa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/fip
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kifipa)
MarejeoEdit
- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Struck, Bernhard. 1911. Die Fipasprache (Deutsch-Ostafrika). Anthropos 6, uk 951-993.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifipa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |