Kifordata (pia Kilarat au Kivaidida) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wafordata kwenye visiwa vya Fordata, Larat, Molu-Maru, Yamdena na Seira. Pia Wafordata wengine wamehamia mji wa Jakarta. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kifordata imehesabiwa kuwa watu 50,000 ambao nusu yao, yaani 25,000, waliishi nje ya eneo la asili. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifordata iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifordata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.