Kifulfulde-Bagirmi

Kifulfulde-Bagirmi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Chad inayozungumzwa na Wafulfulde. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kifulfulde-Bagirmi nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 156,000. Pia kuna wasemaji 24,000 nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifulfulde-Bagirmi iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifulfulde-Bagirmi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.