Kifutuna-Mashariki
Kifutuna-Mashariki ni lugha ya Kiaustronesia nchini Wallis na Futuna na Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Wafutuna. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kifutuna-Mashariki nchini Wallis na Futuna imehesabiwa kuwa watu 3600. Pia kuna wasemaji 2900 nchini Kaledonia Mpya (2009). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifutuna-Mashariki iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kifutuna-Mashariki kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kifutuna-Mashariki
- lugha ya Kifutuna-Mashariki katika Glottolog
- lugha ya Kifutuna-Mashariki kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kifutuna-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |