Kigahri
Kigahri ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagahri. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kigahri imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigahri iko katika kundi la Kibodish.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigahri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigahri Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigahri katika Glottolog
- lugha ya Kigahri kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigahri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |