Kigambera kilikuwa lugha ya Kiworrorran nchini Australia iliyozungumzwa na Wagambera katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigambera ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigambera kiko katika kundi la Kiwunambal.

Eneo la lugha za Kiworrorran barani mwa Australia, rangi ya kizambarau

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigambera kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.