Lugha za Kiworrorran

Lugha za Kiworrorran ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha kumi na mbili ambazo huzungumzwa upande wa kaskazini ya jimbo la Australia Magharibi.

Eneo la lugha za Kiworrorran barani mwa Australia, rangi ya kizambarau

Orodha ya lugha za Kiworrorran hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiworrorran kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.